Aah,pole nime come late.
Story uko ndani,haikua direct.
Hiyo day,nilikua studio,mindset.
One take,na record khaligraph na bondock.
Oh,easy bro.
Nilikua hivi joh,na mavitu ya joho.
Na sio easy go,ni kisa,nikisaka,hizi doh.
Since magatekeeper ndio,wanafunga, hizi
Yeah man,bado still,shit ni same.
Socialite wana twerk,hadi,wanashit, kwa game.
Wa naija na wa tz,ndio wako kwa fm.
Na siku hizi huhitaji content,ndio uweze kua fame.
Dem,ndio kikazi haijui,makadem.
Kshaka,labda nyash,kisa yuko,back again.
Eric wanaina,just another name.
Fadhili williams,au teddy Josiah
,What a shame.
Things zime change,sizo ulikuta.
Watu wana drill,wamesahau kapuka.
Kuna gengeton, Genge inakufa.
Industry consistent,la sivyo,unashuka.
Ukiwa hell, paradise inabaki story.
Hata vice president,sio modi awory.
Huku ndani,haki na miss,ku flex.
Siwezi kumbuka,when,nilikua na miss, kwa sex.
Vumilia tu,utatoka soon.
Rada ni safi,nilichapia,ma taikun.
Utashinda Kesi,utarudi mtaa.
Watu wanamiss kuskia,bars kwenye baa.
Naskia sleng,naona mume,upgrade.
Naona rasta,na nilikuacha na dred.
Naskia unawafutia,hadi wanakusaka.
Btw,nilipenda dundaing na kaka.
Verse
Sijui hata familia,iko aje huko.
Kama wanafaidika na mziki,na vile siko.
Last time,boy hakuenda shule,karo noma.
Hivi ilipita ile story,ya kulipia ngoma.
Watu walichoka,na mcsk.
Unachezwa kwa rotation,pesa haupokei.
Wasanii wanategemea,tu ma show.
Majozi,machozi,pia unaweza kosa dooh.
Dah,hakuna lucky ya asenal.
Sema nimeskia kuna cats,wako international.
Making us proud,ball isonge mbele.
Hivi bado wasanii wa kike,wanapingwa misele.
Not real,kuna mastar,mabikra.
Presenter akiitisha game,wanamuanika.
Sema tu,hawakawii kubadilika.
Sawa na gospel,vile walibadilisha.
Aah naskia ukibahatika,unavishwa rinda.
Ukiwa wazi,wanapita,wanaacha mimba.
Hadi wanyama,siku hizi wanaimba.
Sungura,jaguar,tembo hadi simba.
tuache hizo bro,vipi uko fiti.
Naskia huku ukizubaa,kamisi kamiti.
Na boys wamekumis,kwenye citi.
Na mashabiki,wamekumis, kwenye mziki.
Niko poa,ni matizi,na machizi.
Mzigo unaingia,tunamoka na,kusizi.
Daily ni maangamizi.
Sema tu,ukipenda kuomba,utapewa ndizi.
Noma bazenga,ila be strong.
Maisha ya huku,inatosha song.
Usikate tamaa,hata ukipata knife.
Kumbuka una wazazi,mtoi na wife.
Yeah,vijimambo vya jela.
Inabidi ukomae tu,ki mandela.
Respect,brother,umenijenga.
Keep up the good vibe,magix Enga.
#VelocityAlbum